Mama Msamaria

Mama Msamaria

  Alikuwa mama mmoja kwa moyo mzito. Alibeba mtungi wa maji, begani. Wakati huo jua kali sana, ilikuwa saa sita mchana. Akaenda kuteka maji kisimani. Alikuwa mama mwenye sifa mbaya. Hakuweza kwenda kisimani wakati wa jioni. Hakutaka kukutana na watu wengine...
X